Kwa kweli wampe hata muhula m1 ili nayeye aridhike bas. Kheeeh ametoka mbali mnooo.Ukitulia hasa haya mambo ya Baba kuupata walau muhula mmoja uninong'oneze ulichokumbuka basi na mm
Ruto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maishaOdinga ashinde fasta,huyu Baba ni mvumilivu na mstaarabu,yuko tayari kufanya 'handshake' na wapinzani wake kwa manufaa ya Umma,hakati tamaa,hana lugha chafu,anatufaa East Afrika.
Rutto naona anajazba sana na tamaa ya madaraka,alishindwa kumsaidia raisi kujenga nchi akaanza mizunguko ya kujiimarisha na kuropoka hovyo,Kuna kauli alitoa kuhusu DRC haikuwa nzuri kidiplomasia,anaweza kutuvuruga E.A.
Ajifunze kwaza uvumilivu wa Baba.
Yaan Odinga ashinde haraka mnooo, niweze kula chakula, maana hata hamu ya kula imekata.Odinga ashinde fasta,huyu Baba ni mvumilivu na mstaarabu,yuko tayari kufanya 'handshake' na wapinzani wake kwa manufaa ya Umma,hakati tamaa,hana lugha chafu,anatufaa East Afrika.
Rutto naona anajazba sana na tamaa ya madaraka,alishindwa kumsaidia raisi kujenga nchi akaanza mizunguko ya kujiimarisha na kuropoka hovyo,Kuna kauli alitoa kuhusu DRC haikuwa nzuri kidiplomasia,anaweza kutuvuruga E.A.
Ajifunze kwaza uvumilivu wa Baba.
Kwa kweli wampe hata muhula m1 ili nayeye aridhike bas. Kheeeh ametoka mbali mnooo.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Angekua mvumilivu asingekubali kwenda kuapishwa ikiwa alishindwa.Odinga ashinde fasta,huyu Baba ni mvumilivu na mstaarabu,yuko tayari kufanya 'handshake' na wapinzani wake kwa manufaa ya Umma,hakati tamaa,hana lugha chafu,anatufaa East Afrika.
Rutto naona anajazba sana na tamaa ya madaraka,alishindwa kumsaidia raisi kujenga nchi akaanza mizunguko ya kujiimarisha na kuropoka hovyo,Kuna kauli alitoa kuhusu DRC haikuwa nzuri kidiplomasia,anaweza kutuvuruga E.A.
Ajifunze kwaza uvumilivu wa Baba.
[emoji28][emoji28],tunasubiri Wakenya waamue ila Odinga anatufaa sana EAYaan Odinga ashinde haraka mnooo, niweze kula chakula, maana hata hamu ya kula imekata.
Sawa,haya ni maoni yako,tusubiri Kenya waamueRuto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maisha
Yaan huyu baba ashinde tyuuh, khaaah anastahili kuwa Rais.[emoji28][emoji28],tunasubiri Wakenya waamue ila Odinga anatufaa sana EA
Hata akishindwa, apewe tyuuh jaman lolKama ameshinda,na sio KWa huruma,
Sawa,haya ni maoni yako,Yakwangu yanabaki vilevile,tusubiri matokeo tuUsilolijua ni sawa na usiku wa giza. Angekua mvumilivu asingekubali kwenda kuapishwa ikiwa alishindwa.
Kuhusu kuhandshake na wapinzani wake, hapo Sasa ndio ikuonyeshe alivyokua na tamaa. Odinga alijua kabisa ni lazima aungane na kenyetta ili kuipata ikulu kutokana na nguvu aliyonayo ruto. Kenyatta nae alikuwa hana namna ya kuungana na odinga kwa kuwa Kenyatta ni raisi mfanyabiashara hofu yake asipoungana na odinga, na odinga akashinda uchaguzi itakula kwake. Hivyo handshake hazijatokea tu kwa bahati mbaya au eti sijui ni waungwana
E.A ipo na SHERIA ,kanuni, na taratibu za kuiendesha, haiwezi kuwa kikwazo KWa yoyote katika jumuia husika kukalia kiti Kama kura zimetosha[emoji28][emoji28],tunasubiri Wakenya waamue ila Odinga anatufaa sana EA
Umeona wapi iyo mama kwenye nchi za wastarabu labda bongo ,Uganda,Rwanda huko, KWa wastarabu hilo hakunaHata akishindwa, apewe tyuuh jaman lol
Duuuh hatareeeeeh.Umeona wapi iyo mama kwenye nchi za wastarabu labda bongo ,Uganda,Rwanda huko, KWa wastarabu hilo hakuna
Sasa Wakenya waamuwe mara ngapi wakati walishaamuwa tangu juzi?Sawa,haya ni maoni yako,tusubiri Kenya waamue
Ni maamuzi gani unayoyajuwa wewe.Tupe habari.Sasa Wakenya waamuwe mara ngapi wakati walishaamuwa tangu juzi?
Tunasubili matokeo rasmi tu, maamuzi yalishafanyika huwezi badili lolote.