Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Sasa umekataa nini kuhusu tamaa?
 
Huyu mwenyekiti wa tume ana akili sana....anachoongea ni sawa na kikwete anachosema... matokeo yenye mgogoro ni kuachana nayo...wagombea waende mahakamani wakaamuliwe kwanza.... hakuna kubeba lawama ya mtu....kwa mwendo huu matokeo yatakayotangazwa na Tume yataaminika sana kuliko chochote

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Wakenya waamuwe mara ngapi wakati walishaamuwa tangu juzi?

Tunasubili matokeo rasmi tu, maamuzi yalishafanyika huwezi badili lolote.
Ni kweli,lakini mchakato unaweza kuwa ni mrefu iwapo kuna mtu hataridhika akaenda mahakamani,sisi kazi yetu ni kusubiri hadi uamuzi wa mwisho.
 
vijana hawapo tayari kuonhozwa na mzee ambaye hana tena nguvu ya kukimbizana.
"Wanasema ikulu haiwezi kuongozwa na mzee, na Mimi nawauliza kwani ikulu kunamtu anakwenda kubebe zege?" By malachela
 
Watu waache siasa za kuchafuana,mnaona yanayotokea Kenya?mambo yanabadilika,anashinda mtu ambae wengi hawamdhanii,ndiyo mambo ya Mungu yalivyo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…