Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wa kunyumba huko kwa wenzetu hakuna mbeleko.inabidi awe amechaguliwa kwa kura nyingi...tuombe Mungu awe amepata kura za kutosha...hata Mimi natamani ashinde lakini itapendeza zaidi akishinda kihalali
Yaan hadi sijui nifanyeje huyu baba ashinde, hata sielewi.
Natamani mno ashinde.
 
Kwa hiyo wewe huna akili?wakenya wanakili gani?hata watanzania Tuna akili.
Wakenya wana akili kuliko sisi. Tukubali tu.

Wao maneno machache vitendo Vingi na sisi Maneno meeeeengi halafu vitendo kiduuuchu. Ukitaka kujua hayo chunguza ziara za viongozi zilivyo na mikakati miiiiingi na ahadi tamu kisha njoo kwenye utekelezaji.

Mfano tu ni suala la maji na barabara maeneo ya Mbezi yaani wanapotembeleaga mawaziri wa maji na ujenzi au mkuu wa Mkoa(sasahivi Makala) wanavyoongea UTAFIKIRI MAJI NA BARABARA VINAPATIKANA KESHO KUMBE litaka weeee then wanatembelea tena kipindi cha uchaguzi/kampeni na kuja na gia Mpya ya kuwaaminisha kuwa imeshatengewa Bajeti.

TUKUPALI TU TZ BADO SANA.
 
Hizi updates zimekaa kimchongo Sana, tunashindwa kuelewa nani anaongoza
Anaongoza Raila, unapottizama updates za TV angalia idadi ya kura then chukua za TV ilohesabu kura nyingi, vyombo vya habari vimepewa access ya kujihesabia so chombo kilicho na manpower na kasi ya kutosha kitakuwa na takwimu zake na chenye kasi ndogo pia takwimu zake, ngoma inaweza kurudiwa hii.
 
All in all jamaa ni hustler. Anatumia kila njia kutimiza malengo yake. Njia ziwe halali ama si halali. Hata ikitokea asiwe rais leo. Huko mbeleni lazima aje kuwa Rais.Mark my words.
Kuna probability ya baba kumpiga pini na kumfilisi kabisa...tunaweza tusimuone mpaka raila akifariki

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
kama imekuuma yeye kuongea hivyo kampige
Wewe ndo una akili,una bonge la ushauri,sema ndo hivyo,watu hawajajua kua una akili sana,hata Kikwete hakufikii,maana Kikwete mwenyewe hataki ile eti mtu akiongea ukadhika,umpige,eti yeye anataka tushindane kwa hoja,Kikweke bhana.
Poa counselor wa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…