The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Obama ni Mkenya eee?Ila jokes aside,wakenya wana akili sana.No wonder Obama akawa rais wa taifa kubwa kama USA.
Hawajawahi kuwa marafiki na hawajawahi kuwa marafiki,ni malengo na calculations zao kisiasa ili kila mmoja atimize malengo yake ziliwafanya kuwa karibu. Ukaribu with interests.View attachment 2320901
Nikiangaliaga hii picha naukubali msemo rafiki Yako Ndo adui yako. Yani uhuru kamsaliti rafiki yake na kimuunga mkono adui.
Wa kunyumba huko kwa wenzetu hakuna mbeleko.inabidi awe amechaguliwa kwa kura nyingi...tuombe Mungu awe amepata kura za kutosha...hata Mimi natamani ashinde lakini itapendeza zaidi akishinda kihalaliWampe na yeye aridhike, ametoka mbali mnooo.
Ana vinasaba vya Kenya.Hivi Obama ni Mkenya eee?
Duuuh naumia mie, uwiiiihPole,ni ngumu Raila kushinda. Kwanza inavyoonekana kutakuwa na round two. Hapo inatakiwa amobilize zaidi Pwani,na aconvince zaidi central.
Yaan hadi sijui nifanyeje huyu baba ashinde, hata sielewi.Wa kunyumba huko kwa wenzetu hakuna mbeleko.inabidi awe amechaguliwa kwa kura nyingi...tuombe Mungu awe amepata kura za kutosha...hata Mimi natamani ashinde lakini itapendeza zaidi akishinda kihalali
Wakenya wana akili kuliko sisi. Tukubali tu.Kwa hiyo wewe huna akili?wakenya wanakili gani?hata watanzania Tuna akili.
Anaongoza Raila, unapottizama updates za TV angalia idadi ya kura then chukua za TV ilohesabu kura nyingi, vyombo vya habari vimepewa access ya kujihesabia so chombo kilicho na manpower na kasi ya kutosha kitakuwa na takwimu zake na chenye kasi ndogo pia takwimu zake, ngoma inaweza kurudiwa hii.Hizi updates zimekaa kimchongo Sana, tunashindwa kuelewa nani anaongoza
Bado tunaendelea kuhesabu, hao wamefika mwisho?Upo vizuri mkuu , kazi nyingine iyo Toka UDA official
Haya matokeo yanazidi idadi ya walopiga kura.Upo vizuri mkuu , kazi nyingine iyo Toka UDA official
Mungu mbariki bwana KitendawiliYaan hadi sijui nifanyeje huyu baba ashinde, hata sielewi.
Natamani mno ashinde.
Ww ni muongo tumekustukia....mwenyekiti wa tume kasema digital citizens wako vizuri zaidi wanakaribiana na matokeo ya tume.Live Updates;
Ruto 6,788,933(50.4)
Raila 6,585,716(48.8)
Bahati mbaya sana mwendazake hakusubiri kushuhudia hii akili kubwa. Lazima angeitungia spin kubwa kuwaponda “manyang’au” kwa kuiga mabeberu.Ila jokes aside,wakenya wana akili sana.No wonder Obama akawa rais wa taifa kubwa kama USA.
Mimi ni muongo au nipo mbele zaidi? Hauna akiliWw ni muongo tumekustukia....mwenyekiti wa tume kasema digital citizens wako vizuri zaidi wanakaribiana na matokeo ya tume.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wapigakura ni mil 14+Haya matokeo yanazidi idadi ya walopiga kura.
Kuna probability ya baba kumpiga pini na kumfilisi kabisa...tunaweza tusimuone mpaka raila akifarikiAll in all jamaa ni hustler. Anatumia kila njia kutimiza malengo yake. Njia ziwe halali ama si halali. Hata ikitokea asiwe rais leo. Huko mbeleni lazima aje kuwa Rais.Mark my words.
Wewe ndo una akili,una bonge la ushauri,sema ndo hivyo,watu hawajajua kua una akili sana,hata Kikwete hakufikii,maana Kikwete mwenyewe hataki ile eti mtu akiongea ukadhika,umpige,eti yeye anataka tushindane kwa hoja,Kikweke bhana.kama imekuuma yeye kuongea hivyo kampige