Nakuambia nyakati zimebadilika hizi,hatuendi kwa mazoea tena.Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
Raila ashazoea hizi gem
Nachukia sana watu kama ninyi...wenzetu utafutaji wenu unaishia Tz tuu...?? Yaan unakuwa unawaza nn kuandika hivi...??Wabongo mme geuka wasemaji wa Kenya. Ya kwenu yame washinda
Nani ameshinda huko kwani mbona mmeanza kuhukumu watu wabongo?😆😆😆🤣Ruto alikuwa pia kwe team ya Moi ya kufanya wizi wa kura. Ruto mwizi tu.
Nikiona mtu mwenye akili ana andika (nn)badala ya (nini) na ujinga ujinga mwingine najisikia vibaya sanaNachukia sana watu kama ninyi...wenzetu utafutaji wenu unaishia Tz tuu...?? Yaan unakuwa unawaza nn kuandika hivi...??
Shida kuu ni kuwa hujayapenda hayo matokeo [emoji2][emoji2][emoji2] ila ndo hivyo tena na tume nayo itatumia matokeo ya vituo hivyohivyo, [emoji38][emoji38][emoji38]pole.Basi kama hawa siyo tume ya Uchaguzi ni kujifurahisha tu
sasa kama fomu za manual kama zinatofautiana na matokeo yaliyouploadiwa Ina maana gani? Lazima kuna mtu kuvamia mfumo ,unaweza ukakuta tume ina ushahidi wa fomu manual na ni tofauti na kilichouploadiwaBw. G Sam una cha kutolea ufafanuzi kuhusiana na maandishi ya hapo juu?
Nimeranda randa kote,zimestop kweli.Inaelekea G Sam ana reliable source ya taarifa zake.Your source of info is true men, media zote zimestop, hata the nation...yule countrywide alikuwa anajua huo mchezo... angalia hapaView attachment 2321168
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wajakoyah anakuja kufanya wonders
Mshindi hatangazwi na TV ni IEBCBasi kama hawa siyo tume ya Uchaguzi ni kujifurahisha tu
Wewe jua kuwa jamaa kafanya ujinga mingi na NTV ndo kaingiza makura kibao hadi wakakatazwa kuendelea kutoa updates. Chanzo cha kwanza kabisa ilikuwa NTV jamaa alifanya yake mapema akawa anajiongezea tu. Now wamepigwa pin kutokana na huu upuuzi baada ya matokeo ya tume kutofautiana na yao. Kwenye dunia yoyote ile race ya kupanda kushuka mpaka mnapiriliza required amount lazima mtu uwe na shaka. Mbaya zaidi turnout inakaribia bado kuna mambo hayaeleweki. Wangeendelea hivyo pengine Kenya ingekuwa kwingine muda huu. In short NTV na Nation walikuwa race sana hadi wakawa wana upload makorokochoBw. G Sam una cha kutolea ufafanuzi kuhusiana na maandishi ya hapo juu?
We mzushi sana.Yani pale walipoishia ndo hapo hapo Ruto alikuwa anatoboa 6.7M wakati hizo kura hana. Kama angefanikiwa ngoma ingeenda second round
Mkuu wakiendelea tena niite mzushi kwa mara ya pili nipo nimekaa paleWe mzushi sana.
Hapa NTV wanaendelea wacha mbambambaWewe jua kuwa jamaa kafanya ujinga mingi na NTV ndo kaingiza makura kibao hadi wakakatazwa kuendelea kutoa updates. Chanzo cha kwanza kabisa ilikuwa NTV jamaa alifanya yake mapema akawa anajiongezea tu. Now wamepigwa pin kutokana na huu upuuzi baada ya matokeo ya tume kutofautiana na yao. Kwenye dunia yoyote ile race ya kupanda kushuka mpaka mnapiriliza required amount lazima mtu uwe na shaka. Mbaya zaidi turnout inakaribia bado kuna mambo hayaeleweki. Wangeendelea hivyo pengine Kenya ingekuwa kwingine muda huu. In short NTV na Nation walikuwa race sana hadi wakawa wana upload makorokocho
Na hiyo hiyo tume itakushangaza sana,angalia usije rusha ngumi tu [emoji3][emoji3].Mbona sasa hao NTV wameganda,si waendelee kutoa matokeo ama nini kimewakumba? [emoji2960]Shida kuu ni kuwa hujayapenda hayo matokeo [emoji2][emoji2][emoji2] ila ndo hivyo tena na tume nayo itatumia matokeo ya vituo hivyohivyo, [emoji38][emoji38][emoji38]pole.
OnyeshaHapa NTV wanaendelea wacha mbambamba