Nakuambia nyakati zimebadilika hizi,hatuendi kwa mazoea tena.Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
Matokeo yanaendaje kwani?
Tz mjiandae kwa surprise itakayowakumba chaguzi zijazo