Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
Nakuambia nyakati zimebadilika hizi,hatuendi kwa mazoea tena.

Matokeo yanaendaje kwani?

Tz mjiandae kwa surprise itakayowakumba chaguzi zijazo
 
Nachukia sana watu kama ninyi...wenzetu utafutaji wenu unaishia Tz tuu...?? Yaan unakuwa unawaza nn kuandika hivi...??
Nikiona mtu mwenye akili ana andika (nn)badala ya (nini) na ujinga ujinga mwingine najisikia vibaya sana
 
Basi kama hawa siyo tume ya Uchaguzi ni kujifurahisha tu
Shida kuu ni kuwa hujayapenda hayo matokeo [emoji2][emoji2][emoji2] ila ndo hivyo tena na tume nayo itatumia matokeo ya vituo hivyohivyo, [emoji38][emoji38][emoji38]pole.
 
Bw. G Sam una cha kutolea ufafanuzi kuhusiana na maandishi ya hapo juu?
Wewe jua kuwa jamaa kafanya ujinga mingi na NTV ndo kaingiza makura kibao hadi wakakatazwa kuendelea kutoa updates. Chanzo cha kwanza kabisa ilikuwa NTV jamaa alifanya yake mapema akawa anajiongezea tu. Now wamepigwa pin kutokana na huu upuuzi baada ya matokeo ya tume kutofautiana na yao. Kwenye dunia yoyote ile race ya kupanda kushuka mpaka mnapiriliza required amount lazima mtu uwe na shaka. Mbaya zaidi turnout inakaribia bado kuna mambo hayaeleweki. Wangeendelea hivyo pengine Kenya ingekuwa kwingine muda huu. In short NTV na Nation walikuwa race sana hadi wakawa wana upload makorokocho
 
Hapa NTV wanaendelea wacha mbambamba
 
Shida kuu ni kuwa hujayapenda hayo matokeo [emoji2][emoji2][emoji2] ila ndo hivyo tena na tume nayo itatumia matokeo ya vituo hivyohivyo, [emoji38][emoji38][emoji38]pole.
Na hiyo hiyo tume itakushangaza sana,angalia usije rusha ngumi tu [emoji3][emoji3].Mbona sasa hao NTV wameganda,si waendelee kutoa matokeo ama nini kimewakumba? [emoji2960]
 
Back
Top Bottom