Hesabu ngumu 50 +1 haina maaana itakuwa 51, yaweza Kuwa 50.1Hapana lazima mshidi apate 50% +1% jambo ambalo ni impossible kwasasa 1% kwa idadi ya 14m ya wapiaga kura ni sawa sawa na kura 140,000 hio idadi sio rahisi kuipata kwasasa
Umedukua wapi hoo mkuu. Tule popcorn na wine
Naona Ruto ameanza kushuka. Hii karata ni nyekundu yote aisee.Nation 2140hrs
Ruto 50.14%
Raila 49.18
Hakuwa ibilisi ila alifinyangwa aonekane ibilisi!!
Niliwahi fanya kosa kama hilo nilitubu Baada ya KUJUA hasa nini kilifanywa na waliofanya wanajuta sasa hivi!!
Ruto ni real definition of a HustlerRuto hata akipoteza.
Jamaa ni Mwanaume, Jeshi haswaaa .
Yaan Ruto Kwa Odinga, ni sawa na Upinzani Kwa CCM.
Ngoma bado ngondoigwaToeni updates bas, imekuaje huko????
Odinga ashinde jaman, huyu mzee apewe hata muhula m1 aridhike na yeye lol.
IEBC tayari wametangaza nusu ya kura zote zilizopigwa....yaan 7million votes sawa na 52%, RUTO anaongoza kwa 51% RAO 47%anatokea nyuma kabisaToeni updates bas, imekuaje huko????
Odinga ashinde jaman, huyu mzee apewe hata muhula m1 aridhike na yeye lol.
Independent Electoral and Boundaries Commission.IEBC tayari wametangaza nusu ya kura zote zilizopigwa....yaan 7million votes sawa na 52%, RUTO anaongoza kwa 51% RAO 47%anatokea nyuma kabisa
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Uko nyuma sana