Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Screenshot_20220811-225438_Twitter.jpg
 
Hapana lazima mshidi apate 50% +1% jambo ambalo ni impossible kwasasa 1% kwa idadi ya 14m ya wapiaga kura ni sawa sawa na kura 140,000 hio idadi sio rahisi kuipata kwasasa
Hesabu ngumu 50 +1 haina maaana itakuwa 51, yaweza Kuwa 50.1
 
IEBC tayari wametangaza nusu ya kura zote zilizopigwa....yaan 7million votes sawa na 52%, RUTO anaongoza kwa 51% RAO 47%anatokea nyuma kabisa

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Independent Electoral and Boundaries Commission.
Rasimu ya katiba mpya ya warioba ipitishwe na sisi tupate hili limashine kama la wakenya.

Maendeleo hayanavyama
 
Back
Top Bottom