Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ruto akishinda hata biashara za Tanzania na Kenya zitayumba sana, Anahasira mingi nad he is not matured enough.
Lol! Mtu mwenye miaka 55 hayuko matured enough?
Unajua yeye ni nani Kenya?
Unajua Raila hafui dafu kwa Ruto and he knows it?

Yani Ruto angezalisha at the age of 22 mwanawe wa kwanza angekuwa na umri wa miaka 33
Am sure huna hata 30
He's your Daddy wekelea heshima mbuni wewe
 
Binafsi namtakia ruto ushindi na ningependa kweli ashinde, lakini kwa nguvu aliyopewa Raila sioni Ruto alishinda! Ila kwa vile kenya tume yao ni bora kuliko huku kwetu chochote kinaweza kutokea.
 
 
Yah ndiyo nafikiri Ruto ndo chaguo sahihi zaidi Kwanza bado kijana na naamini anaweza kuongoza nchi vizuri huyo Mzee Wa nini akalee wajukuu Tu.I wish Ruto ndo ashinde .
Ruto amefanya nini miaka 10? Ashindwe akiwa makamu ndio aweze akiwa Rais??

Kama issue ni ujana huyo Uhuru ambaye Ruto anadai Hana lolote alilofanya sio kijana? Uongozi sio mbio za mita 100, Kibaki aliapishwa akiwa kwenye wheelchair ila ndio best ever president wa Kenya
 
Yaani Odinga licha ya kupewa ubavu na Uhuru bado anakimbizwa na Ruto kwa karibu hivyo?
Unadhani huko ni kama chaguzi zetu mtu anashinda kwa 80%!! Hata Odinga miaka yote anaachwa kwa 5% pekee tokea 2007!!

Hizo ndio nchi zenye Demokrasia, huku Tz unajiuliza eneo kama Mbagala CCM inapataje 90% ya kura!! Kwamba wananchi wote wanawaza sawa?

Embu acheni wenye Demokrasia washinde kwa kura elfu 1 sio huku gap za million 10 kati ya Wagombea Urais.
 
Sizungumzii uchaguzi wa Tanzania. Hujui kusoma?
 
Wewe usilete utani hapa. Tanzania hakuna upinzani kwa sasa. Hivi ulitegemea CHADEMA ingeshinda 2020 ? Hakuna kitu kama hicho.
Hayo ni maoni yako kuwa Tanzania hakuna upinzani. Kwanini hamsemi ukweli kuwa Tanzania CCM na dola wanashirikiana kuonea wapinzani?

Lini umesikia Kenya wapinzani wakiwekwa gerezani ovyo ovyo km Tanzania? Leo uchaguzi unaishi hatujasikia hata mpinzani mmoja eti kakosea kujaza fomu,au eti hajui kuandika.

Haya mambo ni ya kawaida kwa chaguzi zetu. Aaafu mtu anaibuka anasema hakuna upinzani Tanzania upinzani upi labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…