Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Asilimia.Mbona county nyingi wapiga kura ni wachache sana? Yaani kura mbili au tatu kwa county nzima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia.Mbona county nyingi wapiga kura ni wachache sana? Yaani kura mbili au tatu kwa county nzima?
Inaonekana bado zinahesabiwaSijaelewa kinachoendelea hapa!!??
mbona Ruto anaongoza kwa kura nyingi!!!?
So kwanini wanaweka vipande ambavyo havijakamilika!!??Inaonekana bado zinahesabiwa
Hivyo ni vituo siyo County nzimaMbona county nyingi wapiga kura ni wachache sana? Yaani kura mbili au tatu kwa county nzima?
Namimi bado najiuliza ndugu ngoja wajuzi watufafanulieSo kwanini wanaweka vipande ambavyo havijakanilika!!??
Mkuu kwanini unaposti kitu ambacho hakijakamilika!!!???