Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hata Ruto akishinda amwachie Odinga.Safari hii ni yake na hatutaki ugomvi wa ndugu.
 
Ukimaliza uchaguzi wa Kenya ututabirie na wa Nchi zingine zote za EA ukianza na hapa kwetu,inaonekana wewe ni nguli wa siasa za ukanda huu.
Asee chalayangu usijali kabisa. Nimeshatabiri Ruto tayari ni Rais wa Kenya. Na Kagame atashinda kwa kishindo uchaguz ujao Rwanda. Mungu mkubwa asee Raila kamwe hatawahi kuwa Rais. Believe me
 
Huu ndio upumbavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.
Sijui kuna binadamu Mtanzania anaweza kusimama na akajenga hoja ya kukupinga. Oppositions kwa hii Tz hatuwapata,wafia tumbo hawa tulionao bynow
 
Back
Top Bottom