Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Talk with mouth instead of assholeFuc.k off Mr smart-ass.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Talk with mouth instead of assholeFuc.k off Mr smart-ass.
Yeah ni kweli mkuu umri wa Ruto bado unaruhusu na mashabiki zake bado tupo naye sana I hope akishindwa tutajipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao.Bado ana nafasi ya kujaribu Tena na Tena ikiwa hatapata awamu hii.
Twende Baba mdogo mdogo hadi IkuluOdinga anaongoza kwa kura 37,000
[emoji3][emoji3][emoji3]what a comeback.....what is Dr Miguna's comments now!
Kifupi hatuna taasisi, ni machaka tu ya kulipana mishaharaPerfect mkuu,2020 ulikua ni uchafuzi sio uchaguzi
TULIA kijana Ruto sshv anapigwa backa to backaMajimbo gani hayo zinashuka kwa kasi ivo!!
Mkuu nimeangalia ntv hata mi sielewi ,nani yuko sahihi? Naona Citizen wapo nyumaHyo ni kwa Citizen ila kwa ntv wako live pia Ruto anaongoza kwa kura 100k.
Sijui wanatumia utaratibu gan.
Hata kwenye mpira na makocha wanawasisitizia wachezaji wao kuwahi kutangulia kufunga goli. Hii ina advange ya asilimia kubwa kushindwa mechi kwa timu pinzan. Kwanza tayari mmeshamvuruga mpinzani kisaikolojia. Wakati yeye anaangaika kurudisha goli nyie kazi yenu kuongeza la pili kwasababu ataacha mianya mingi midfield na defense.
Kwa uhakika Ruto is the next president. Believe me
Acha uzuzu huo,uchaguzi gani Tanzania tulifanya 2020?,ule ni ushetani at its best, na Ile deliver ya pili ya coal inaingia kesho kwenye Ile address, means coal haitapunguadeep state sio watu mzee,,,Lowasa walimfanya kama hivi walitangaza kwa fujo kura za kaskazini akawa anaongoza walipomaliza,wakahamia Lake zone ngome ya chama na serikali shughuli ikaishia huko.mpaka leo mzee hana hamu.[emoji23][emoji28]
Ruto kimemkuta kitu cha namna hiyo[emoji115]
Yani Jiwe alikuwa mpuuzi Sana. Yani alicheza gemu ya kitoto sana kwenye hule uchafuzi 2020. Yani alitukera Sana. Halafu mwenyewe akajiona mjanjanjaa na sisi watanzania kutuona wajinga kama yeye.Katika masuala ya uchaguzi na Demokrasia Tanzania ni takataka tu mbele ya Kenya.Natazama KBC hapa,mambo yanaenda kwa uwazi kabisa.
Matokeo ya Rais wa Tanzania hayatangazwi vituoni, yote yanakwenda kujumlishwa Dodoma?System unamaanisha Nini mkuu?
Uwazi umeanza zile form za matokeo Kila kituo zimewekwa hadharani na Kila mtu anaweza kujumlisha kupata kura zilizopigwa.
inategemea results ni current kiasi gani. KBC wanasema Rutto 52%, Citizen Odinga 50%. Achana na matokeo ya social media nenda IBCBaba anazidi kumkimbiza Ruto kwa speed ya kimbunga. View attachment 2320088
Baada ya kupitishwa kigamboniMatokeo ya Rais wa Tanzania hayatangazwi vituoni, yote yanakwenda kujumlishwa Dodoma?
Afadhali ...daah maana nilishaanza kukata tamaaZimebaki kura elfu 22
The Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132
NTV wao wanasema
Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Matokeo ya Rais wa Tanzania hayatangazwi vituoni, yote yanakwenda kujumlishwa Dodoma?