Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Bado ana nafasi ya kujaribu Tena na Tena ikiwa hatapata awamu hii.
Yeah ni kweli mkuu umri wa Ruto bado unaruhusu na mashabiki zake bado tupo naye sana I hope akishindwa tutajipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao.
 
Baba anazidi kumkimbiza Ruto kwa speed ya kimbunga.
Screenshot_20220810-145205.jpg
 
Hyo ni kwa Citizen ila kwa ntv wako live pia Ruto anaongoza kwa kura 100k.

Sijui wanatumia utaratibu gan.
Mkuu nimeangalia ntv hata mi sielewi ,nani yuko sahihi? Naona Citizen wapo nyuma
 
Hata kwenye mpira na makocha wanawasisitizia wachezaji wao kuwahi kutangulia kufunga goli. Hii ina advange ya asilimia kubwa kushindwa mechi kwa timu pinzan. Kwanza tayari mmeshamvuruga mpinzani kisaikolojia. Wakati yeye anaangaika kurudisha goli nyie kazi yenu kuongeza la pili kwasababu ataacha mianya mingi midfield na defense.

Kwa uhakika Ruto is the next president. Believe me

Kutokea nyuma kazi Sana.
Unabarua mbili mbele wakati mwenzako anazidi kuchanja mbuga
 
deep state sio watu mzee,,,Lowasa walimfanya kama hivi walitangaza kwa fujo kura za kaskazini akawa anaongoza walipomaliza,wakahamia Lake zone ngome ya chama na serikali shughuli ikaishia huko.mpaka leo mzee hana hamu.[emoji23][emoji28]
Ruto kimemkuta kitu cha namna hiyo[emoji115]
Acha uzuzu huo,uchaguzi gani Tanzania tulifanya 2020?,ule ni ushetani at its best, na Ile deliver ya pili ya coal inaingia kesho kwenye Ile address, means coal haitapungua
 
Katika masuala ya uchaguzi na Demokrasia Tanzania ni takataka tu mbele ya Kenya.Natazama KBC hapa,mambo yanaenda kwa uwazi kabisa.
Yani Jiwe alikuwa mpuuzi Sana. Yani alicheza gemu ya kitoto sana kwenye hule uchafuzi 2020. Yani alitukera Sana. Halafu mwenyewe akajiona mjanjanjaa na sisi watanzania kutuona wajinga kama yeye.
 
System unamaanisha Nini mkuu?
Uwazi umeanza zile form za matokeo Kila kituo zimewekwa hadharani na Kila mtu anaweza kujumlisha kupata kura zilizopigwa.
Matokeo ya Rais wa Tanzania hayatangazwi vituoni, yote yanakwenda kujumlishwa Dodoma?
 
The Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132


NTV wao wanasema

Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288

Nani mkweli hapo?
 
Matokeo ya Rais wa Tanzania hayatangazwi vituoni, yote yanakwenda kujumlishwa Dodoma?

Kwanza hairuhusiwi kujumlisha Wala kutangaza matokeo ya urais. Hata ukizikusanya zile form ukajumlisha ukapata majibu hairuhusiwi kutangaza au kuweka hadharani takwimu zako. Nadhani ndio msingi wa kuanzisha sheria ya takwimu.
 
Back
Top Bottom