Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Citizen anajulikana ni pro Odinga. Itakuwa wao kwa sasa wanamlisha motokeo kutoka County pro Odinga,TV zingine ni pro Ruto wanajumlisha kutoka pro Ruto.Mwisho wa siku watakutana tu.
It's hard to tell, ila naona kama Ruto atashinda maana ame perform vizuri Nairobi na Bungoma kuliko nilivyotarajia... Raila naye sio mbaya kwa mara ya kwanza anapata above 20% mlima Kenya so inaweza kuwa gap ya laki ya 2 hivi kwa ushindi wa Ruto.Tetesi zinasemaje? Maana hizi za Tv nimeshindwa kujua kati ya hayo mafahali wawili
aache propaganda huyo mpuuzi citizen TV ipi anaongelea? Apite huku...View attachment 2320274
Media houses nazo zimegawanyika Kisasa
Tuombe wa kenya ndugu zetu wasipigane mapanga kwasabb ata media houses zinegawanyika based on tribal and regional, zinaweza kua vyanzo vya uchocheziView attachment 2320274
Media houses nazo zimegawanyika Kisasa
Siku moja moja unakuwa(ga) na akili.It's hard to tell, ila naona kama Ruto atashinda maana ame perform vizuri Nairobi na Bungoma kuliko nilivyotarajia... Raila naye sio mbaya kwa mara ya kwanza anapata above 20% mlima Kenya so inaweza kuwa gap ya laki ya 2 hivi kwa ushindi wa Ruto.
Jamani sio kazi rahisi kupakua fomu 46,000 huku media house Zina wafanyakazi sio zaidi ya 20 kwenye kuhesabu kura!!View attachment 2320274
Media houses nazo zimegawanyika Kisasa
Kijana matusi ya nini jiandae kutembea uchi kama ulivyoahidiWTF?!!
Na nyie mjifunze sasa chaguzi za wenzenu si unaona mambo ni wazi hata mtu akishindwa hakuna malalamiko maana kura zimehesabiwa mbele ya camera.Siku moja moja unakuwa(ga) na akili.
Fake account? Tuju ana followers 3k pekee?Hii imekaaje?View attachment 2320242
Hii kitu hamna kitu kabisa haisogeiUpo
Upo sawa , hii kitu nimeweka KWa screen kabisa nachungulia KILA wakati, japo inaenda taratibu
Source??Live updates:
Ruto 5,425,456(52.5)
Raila 4,864,560(46.6)
Watia presha tu haoHii imekaaje?View attachment 2320242
Inasoge mkuuHii kitu hamna kitu kabisa haisogei
Tanzania hatuwezi kukubali uchaguzi ukawa influenced na wahuni. Kenya hiyo ni failed state, kila mwenye vipesa anajiamulia tu.Na nyie mjifunze sasa chaguzi za wenzenu si unaona mambo ni wazi hata mtu akishindwa hakuna malalamiko maana kura zimehesabiwa mbele ya camera.
Hatujasikia mgombea kakamatwa, masanduku kupotea, hatujasikia Twitter imezimwa n.k embu badilikeni.
IEBC portalSource??
Aisee mi hata sielewi huyu rais ,huyu makamu ,mwingine waziri mkuu ,na wote hawaelewani ,nadhani uswahiba wa uhuru na Odinga umekuja mwishoni ila wote watatu zilikuwa haziivi pamojaHao jamaa waliishije pamoja kama mtu na msaidizi bila kuuana?
That is what I meant! Real time reporting! Free media in the counting room with Live broadcast! Hii ni zaidi ya USA!with real time information