Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Citizen anajulikana ni pro Odinga. Itakuwa wao kwa sasa wanamlisha motokeo kutoka County pro Odinga,TV zingine ni pro Ruto wanajumlisha kutoka pro Ruto.Mwisho wa siku watakutana tu.
IMG-20220810-WA0097.jpg

Media houses nazo zimegawanyika Kisasa
 
Wakati Watanzania tukifundishwa kwa vitendo somo la demokrasia na Wakenya nadhani huu mfumo wa Tv stations kuwa na ruksa ya kujumlisha matokeo na kuyatangaza hautufai Tanzania, naogopa TBC itasabanisha machafuko ambayo hatujawahi kuyaona.

Tutafute namna bora ya kupata matokeo ya kweli kabla ya tangazo rasmi la NEC.

TBC italeta maafa na machafuko makubwa Tanzania tukiadapt huu mfumo huru wa Kenya.
 
Tetesi zinasemaje? Maana hizi za Tv nimeshindwa kujua kati ya hayo mafahali wawili
It's hard to tell, ila naona kama Ruto atashinda maana ame perform vizuri Nairobi na Bungoma kuliko nilivyotarajia... Raila naye sio mbaya kwa mara ya kwanza anapata above 20% mlima Kenya so inaweza kuwa gap ya laki ya 2 hivi kwa ushindi wa Ruto.
 
It's hard to tell, ila naona kama Ruto atashinda maana ame perform vizuri Nairobi na Bungoma kuliko nilivyotarajia... Raila naye sio mbaya kwa mara ya kwanza anapata above 20% mlima Kenya so inaweza kuwa gap ya laki ya 2 hivi kwa ushindi wa Ruto.
Siku moja moja unakuwa(ga) na akili.
 
View attachment 2320274
Media houses nazo zimegawanyika Kisasa
Jamani sio kazi rahisi kupakua fomu 46,000 huku media house Zina wafanyakazi sio zaidi ya 20 kwenye kuhesabu kura!!

IEBC wenyewe hata kuhesabu hawajaanza afu lawama kwa vyombo vya habari?? Kwani wapi ni jukumu la vyombo vya habari kuhesabu na kutangaza Mshindi?
 
Na nyie mjifunze sasa chaguzi za wenzenu si unaona mambo ni wazi hata mtu akishindwa hakuna malalamiko maana kura zimehesabiwa mbele ya camera.

Hatujasikia mgombea kakamatwa, masanduku kupotea, hatujasikia Twitter imezimwa n.k embu badilikeni.
Tanzania hatuwezi kukubali uchaguzi ukawa influenced na wahuni. Kenya hiyo ni failed state, kila mwenye vipesa anajiamulia tu.

Huku ni lazima CCM itengeneze serikali iwe kwa halali au haramu. Nakupa ukweli mchungu, umeze.

Iwe kwa halali au kwa haramu CCM ni lazima tuendelee kuongoza serikali.
 
Hao jamaa waliishije pamoja kama mtu na msaidizi bila kuuana?
Aisee mi hata sielewi huyu rais ,huyu makamu ,mwingine waziri mkuu ,na wote hawaelewani ,nadhani uswahiba wa uhuru na Odinga umekuja mwishoni ila wote watatu zilikuwa haziivi pamoja
 
Back
Top Bottom