Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
zile mbinu za Chadema kuwaambia wafuasi msiondoke kituoni hadi matokeo yabandikwe nadhani ipo kienyeji sana ,wenzetu wamestaarabika ,kura zimepigwa na wamekaa tu nje na mabox ya matokeo wanatuma matokeo na hakuna usumbufu ,hapa polisi wa ccm wangeforce hata kuvuruga wakiona kwenye kituo ccm inashindwaWakati Watanzania tukifundishwa kwa vitendo somo la demokrasia na Wakenya nadhani huu mfumo wa Tv stations kuwa na ruksa ya kujumlisha matokeo na kuyatangaza hautufai Tanzania, naogopa TBC itasabanisha machafuko ambayo hatujawahi kuyaona.
Tutafute namna bora ya kupata matokeo ya kweli kabla ya tangazo rasmi la NEC.
TBC italeta maafa na machafuko makubwa Tanzania tukiadapt huu mfumo huru wa Kenya.