Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Majumba ya ghorofa yaliyopo Dar huyakuti Nairobi na ukiyakuta yanatisha kupanda.Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.
Jinga kubwa uhalisia upo 50000 yakenya ni 1000000tshs hvi wewe hapa JF unafanya nn
 
KTN News
Ruto 6,375,992
Odinga 6,347,744

The Citizen
Ruto 6,457,182
Odinga 6,405,221

KTN Kenya
Odinga 6,266,462
Ruto 6,144,117

Hizi matokeo ya media 3 ndo utajua nani rais
Wameshaconclude?
 
Nchi hii kubwa sana ndomana maendeleo hakuna wezao wakaja na mpango wa majimbo watu wakaja na solution ya ukubwa wa nchi kudhibit maendeleo wanatukanwa

Sijui hukokenya atakuja na lipi tabasamu lake kumbe uadui kwetu
Majimbo hayajafanya la maana hapo Kunyaland! Si kila wanachofanya tuige!
 
KTN News
Ruto 6,375,992
Odinga 6,347,744

The Citizen
Ruto 6,457,182
Odinga 6,405,221

KTN Kenya
Odinga 6,266,462
Ruto 6,144,117

Hizi matokeo ya media 3 ndo utajua nani rais
Naona hapo kwa Citizen umezibadilisha
Screenshot_20220811-162144_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom