Hata utoe povu lakini huo ndio ukweli. They are far miles in IQ than you all.Kuliko wewe na ukoo wako bhana, usitujuishe kweye upumbavu wako ebo. We mjinga nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata utoe povu lakini huo ndio ukweli. They are far miles in IQ than you all.Kuliko wewe na ukoo wako bhana, usitujuishe kweye upumbavu wako ebo. We mjinga nini??
Kweli pumba 60 yakenya ni 1000 ya Tanzania hajui kama Nigepu ya kiuchumiUnaongea pumba
Jinga kubwa uhalisia upo 50000 yakenya ni 1000000tshs hvi wewe hapa JF unafanya nnKenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Majumba ya ghorofa yaliyopo Dar huyakuti Nairobi na ukiyakuta yanatisha kupanda.Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.
Wameshaconclude?KTN News
Ruto 6,375,992
Odinga 6,347,744
The Citizen
Ruto 6,457,182
Odinga 6,405,221
KTN Kenya
Odinga 6,266,462
Ruto 6,144,117
Hizi matokeo ya media 3 ndo utajua nani rais
Nchi hii kubwa sana ndomana maendeleo hakuna wezao wakaja na mpango wa majimbo watu wakaja na solution ya ukubwa wa nchi kudhibit maendeleo wanatukanwaKikwete ni mnafiki saana[emoji23][emoji23]
Majimbo hayajafanya la maana hapo Kunyaland! Si kila wanachofanya tuige!Nchi hii kubwa sana ndomana maendeleo hakuna wezao wakaja na mpango wa majimbo watu wakaja na solution ya ukubwa wa nchi kudhibit maendeleo wanatukanwa
Sijui hukokenya atakuja na lipi tabasamu lake kumbe uadui kwetu
pesa ya kenya ina thamani kuliko yuan vipi mmewapiga gap la uchumi china?Jinga kubwa uhalisia upo 50000 yakenya ni 1000000tshs hvi wewe hapa JF unafanya nn
Naona hapo kwa Citizen umezibadilishaKTN News
Ruto 6,375,992
Odinga 6,347,744
The Citizen
Ruto 6,457,182
Odinga 6,405,221
KTN Kenya
Odinga 6,266,462
Ruto 6,144,117
Hizi matokeo ya media 3 ndo utajua nani rais
pointsCurrently 1621hours.
Ruto;49%
Raila; 49%
forget about points.points
Jmn jogoo linawakosea nnnaanza kuandaa Jogoo la kuchinja ninywe supu kusherehekea ushindi wa Ruto.
hapa kimeumana.hii ngoma itaenda part 2.Currently 1621hours.
Ruto;49%
Raila; 49%
no second round,hapa kimeumana.hii ngoma itaenda part 2.