Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Screenshot_20220815-173953.png
 
Huyu jamaa alishajifanya kama Rais Kabisa, Wakenya wamemuadhibu, Kilichobaki ni Wafuasi wake waanze fujo kisha apewe serikali 'Nusu mkate' kama kawaida yake. Kenya kama hauna Support ya kutosha kutoka kwa Watu wa Mlima Kenya kamwe huwezi kuwa Rais, haijalishi kabila lako, huo ndio ukweli mchungu. Ki historia Raila hajawahi kukubalika hata Kidogo Mlima Kenya, hata Wagombe mbali mbali waliokua chini ya Azimio la umoja eneo la Mlima Kenya walikuwa wanamsuport ila hawamuweki katika mabango yao.
 
Back
Top Bottom