Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Odinga maji ya shingo......wakala wake mkuu apinga kutothibitisha matokeo yote.....Bomas virungu vyatembezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleniWanapigana sana hapa, tumetolewa nje
Kweli kabisa, Tz tufungue tu mipaka sasa, kuna kila dalili kupokea wakimbizi wakutosha.
Mama yake DP ametolewa nje ya House of BomasWanapiga Tu kwaya Ku buy time while negotiations zikiendelea.....
Ni mmasai,dah anajiamini vibaya mnooo.. yeue ndo kamfata pale juu jecha wa kenya mixer ana kirungu kama cha waman'gati
Ametolewa njeNa mama yake yupo
Afrika ni lazima tuelewe kuwa na tume huru kabla ya kudhibiti tatizo la ukabila ni sawa na kupoteza muda tu.
KTN wanasema wanaenda kutangaza Serena hotelNaona Citizen TV wana discuss kwamba kuna uwezekano wakatangaza kesho matokeo.
Daah kazi ipo.
Maafisa wa IEBC wapo 7 , chibukati kabaki na wawili , wanne wamejitenga .
Kazi ipo