binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hongereni majirani kwa kumpata Rais, Kwa kweli tuna vitu vingi sana vya kunote kwenye huu uchaguzi sisi kama Tz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindi keshatangazwa, uamke ndotoniHii ngoma itafika mahakamani na Baba Odinga atakuwa Rais.
Demokrasia inayotufaa ni hii hapa👇🐒🐒🐒Tukiiga demokrasia ya kimagharibi ni wazi itatushinda. Hilo liko wazi kabisa.
Hebu msikilize hapa😂
Uhuru alikuwa timu Odinga 100%. Hiyo siyo chenga, hiyo ni failure. Wamefeli wote
Auntie we ni mimi kabisa yaani nilikuwa upande wa Ruto hata sababu sina sijui na vile ako muhandsome kuliko babuKwa kweli Baba apumzike sasa..
Kiti cha Uraisi hakimtaki...
Ila katika hiki kinyanganyiro...Baba sikumpa Ushindi kabisa...
Nilitamani sana Ruto ashinde...Na scandals zake...Ni sawa tu.
Wazee wa kuhamisha magoli mmeshaanza sasa.
Hata kikwete na Lowassa walikua wanaigiza tu mkuu.Sijawahi kuamini ugomvi wa hawa watu wawili mkuu.
Ruto huyu alitewatukana wakongo juzi serikali ikamkana ndio anamilik mashamba ya mahindi Kongo!?Ila huyu Ruto watanzania tutakoma. Kile kiburi chetu cha kugoma kuwauzia mahindi sijui kitaendelea vipi. Ruto inasemekana ni mkulima wa mahindi mkubwa sana ameshika maeneo Kongo DR na anajinasibu watanzania tukigoma stock anayo. Shida inakuja atayapitishia wapi maana Uganda my wetu anaweza mbania sana. Natamani JPM angekuwepo nikashuhudia ligi ya JPM na RUTO hakika tungekunjana mashati na wakenya day uno. Nawasi wasi PAKA yeye atamsapoti Ruto ambaye namuona ni Muhima kutoka Rift Valley.
Hao team Baba acha wasubirie keshoNaona Citizen TV wana discuss kwamba kuna uwezekano wakatangaza kesho matokeo.
Huyu baba apumzike sasa aisee..Huyu hapa anabembelezwaView attachment 2324605