Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Uhuru alikuwa timu Odinga 100%. Hiyo siyo chenga, hiyo ni failure. Wamefeli wote
Kwamba mkuu unaamini kabisa kwa Afrika yetu hii unaweza kuwa na ugomvi na Rais na ukatoboa?

Kwamba Uhuru angekuwa hataki Wafula atangaze mshindi leo Wafula angefanikiwa kutangaza?

Kama ndivyo basi Uhuru na Jamhuri ya Kenya ni nembo ya utawala bora na darasa kwa Afrika nzima.
 
Kwa kweli Baba apumzike sasa..

Kiti cha Uraisi hakimtaki...

Ila katika hiki kinyanganyiro...Baba sikumpa Ushindi kabisa...

Nilitamani sana Ruto ashinde...Na scandals zake...Ni sawa tu.
Auntie we ni mimi kabisa yaani nilikuwa upande wa Ruto hata sababu sina sijui na vile ako muhandsome kuliko babu
 
Ila huyu Ruto watanzania tutakoma. Kile kiburi chetu cha kugoma kuwauzia mahindi sijui kitaendelea vipi. Ruto inasemekana ni mkulima wa mahindi mkubwa sana ameshika maeneo Kongo DR na anajinasibu watanzania tukigoma stock anayo. Shida inakuja atayapitishia wapi maana Uganda my wetu anaweza mbania sana. Natamani JPM angekuwepo nikashuhudia ligi ya JPM na RUTO hakika tungekunjana mashati na wakenya day uno. Nawasi wasi PAKA yeye atamsapoti Ruto ambaye namuona ni Muhima kutoka Rift Valley.
 
kitendawiliiiiiiiiiiiiiiii...............tega nikutege.
babu kazima mdomo waziiiiiii.

Jibu.......
 
Ila huyu Ruto watanzania tutakoma. Kile kiburi chetu cha kugoma kuwauzia mahindi sijui kitaendelea vipi. Ruto inasemekana ni mkulima wa mahindi mkubwa sana ameshika maeneo Kongo DR na anajinasibu watanzania tukigoma stock anayo. Shida inakuja atayapitishia wapi maana Uganda my wetu anaweza mbania sana. Natamani JPM angekuwepo nikashuhudia ligi ya JPM na RUTO hakika tungekunjana mashati na wakenya day uno. Nawasi wasi PAKA yeye atamsapoti Ruto ambaye namuona ni Muhima kutoka Rift Valley.
Ruto huyu alitewatukana wakongo juzi serikali ikamkana ndio anamilik mashamba ya mahindi Kongo!?
Na hatukusikia ishu za mahindi Kongo.
 
4f433db2ab1c4fb6b01a2a61fdaa4f3c.jpg
 
Back
Top Bottom