Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Uhuru alitumia nguvu nyingi kumpambania Odinga. Risk iliyokuwepo ni kwamba nguvu zilizotumika zilimuongezea ushawishi Odinga na zingeweza mletea ushindi. Bila kuungwa mkono na state apparatus angepata pungufu ya hapa na au angeibiwa kura.

Hakuna lugha yoyote ya kupindisha, Uhuru alikuwa na Odinga. Kama ungejua mahusiano ya Uhuru na Ruto tangu wanatoka The Hague usingesema haya unayosema
Umenena vyema, tuliwaambia watoto humo Raila hafiki popote.
 
Mkuu,kwa Afrika yetu hakuna kitu raisi akitaka kufanya anashindwa, akishindwa kisheria basi atakifanya sirini na madhara yatakuwa mabaya zaidi.

Uhuru angeamua hata hao Ruto na Wafula wasingeona huu uchaguzi.
Bado naendelea kuamini na sababu ninazo, UhuRuto kwa mara ya tatu wamemchezea Raila. Huu mchezo wameucheza kisomi sana.
Argument yako ina mashiko sana ila sijaiamini. Kama Putin na Medvedev walifanya exchange vile ila ilijulikana before, basi hata hili tutajua baadae
 
..Mimi sikumpenda Raila kwa jinsi alivyomkumbatia Jpm.

..Pia simuamini Ruto kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya watu wa DRC.

..Wakenya wameamua hivyo tuheshimu maamuzi yao.

..I hope and pray that President Ruto will lead according to the spirit of the acceptance speech he gave at Bomas.

Cc MK254
 
Kwamba mkuu unaamini kabisa kwa Afrika yetu hii unaweza kuwa na ugomvi na Rais na ukatoboa?

Kwamba Uhuru angekuwa hataki Wafula atangaze mshindi leo Wafula angefanikiwa kutangaza?

Kama ndivyo basi Uhuru na Jamhuri ya Kenya ni nembo ya utawala bora na darasa kwa Afrika nzima.
Raila amechezewa keusi kekundi na Uhuru,atulie tu historian itamkumbuka yeye na Baba yake kwa kuweka mifumo ya democrasia Kenya.
Yawezekana Uhuru anaogopa Raila angekuja kumsaliti kwa kuwa Baba yake alimsaliti mzee Oginga.
 
Yaliyoko online ni unverified. Verified wanatangaza tume.
Matokeo yaliyokuwa uploaded yaliyo verified
Kwa mchuano mkali kama huu wakenya wabadilishe katiba na kuwa na waziri mkuu ambaye atachaguliwa na wabunge na rais kuwa kama ceremonial leader. Ruto nampongeza ila naona ugumu anaokwenda kuupa kupitisha mambo yake bungeni na itakuwa ivo kama rais wengine wa kenya ambao watakuwa wanashinda kwa ushindi wa aina hii.
Hongera wakenya
Hakutakuwa hata na ugumu kivile sababu wa Azimio wa kuchaguliwa wapo 162 wa Ruto wapo 157, bado kuna viti vitatu ambavyo uchaguzi hujafanyika, na kuna wabunge 12 wa kuteuliwa ambao upande wa ruto utapewa vingi kwa hiyo ni kama draw

Sasa kwa sababu azimio na Kenya Kwanza ni muungano tu kama ilivyokuwa Ukawa, baadhi ya vyama vilivyopo azimio vitajiunga na Kenya Kwanza sababu ndio wenye serikali
 
Na ndipo maana Lowasa akachukuliwa na Chadema walimwita fisadi kwa miaka zaidi ya mitano.

Hapo ndipo utajua hatufanani na Kenya upinzani huku kwetu hawajui wanataka nini, walichokuwa wanakifanya 2015 ni sawa ya kuamisha hela kutoka mfuko wa kushoto na kuiweka mfuko wa kulia wa suruali ya CCM.
Acha justification za kitoto,mie ni CCM damu ni ukweli kuwa sisi tunawakandamiza sana uponzani sio kwamba hawajui wanataka nini.Wanasiasa kuhama vyama ni kawaida hata huoni mfano mdogo huko Kenya??
 
Raila amechezewa keusi kekundi na Uhuru,atulie tu historian itamkumbuka yeye na Baba yake kwa kuweka mifumo ya democrasia Kenya.
Yawezekana Uhuru anaogopa Raila angekuja kumsaliti kwa kuwa Baba yake alimsaliti mzee Oginga.
Hahah,amchinjie baharini mshirika wake aliyepambana nae chaguzi mbili na ICC eti aje kumuachia Upanga mtu aliyekiwa nae karibu juzi tu.
 
Ruto huyu alitewatukana wakongo juzi serikali ikamkana ndio anamilik mashamba ya mahindi Kongo!?
Na hatukusikia ishu za mahindi Kongo.
Hakuwatukana bana, alisema Uhuru anataka kucheza mchezo kama wa Kabila na Tishekedi, sasa kuna tusi hapo?
 
Mzee aliamini sana vya kupewa. Watu wamepandishwa wote ICC halafu waje wagombane na wavunje makubaliano yao hivi tu.

Yani Rais agombane na Naibu wake hadi kufikia kumpa mtu mwingine kazi za Naibu rais na wala asimfanyie figisu kumtoa serikalini? 😂
Raila hakuwa smart tu.
Alikua blinded na tamaa ya kuutaka Urais.

Ogopa sana urafiki wa Ghafla.
 
Hahah,amchinjie baharini mshirika wake aliyepambana nae chaguzi mbili na ICC eti aje kumuachia Upanga mtu aliyekiwa nae karibu juzi tu.
Ukiona mpaka kwenye ngome ya Uhuru na kule kwa Martha Karua ndipo Ruto alivuna kura nyingi kuliko Odinga ujue wakikuyu wafuasi wa Uhuru walimkataa Mzee Raila yaani hawakukubaliana na Rais wao.
 
Kuna wapuuzi walikuwa wanachambua kwenye television ya nchi Fulani hapa East Africa mpaka walikuwa wanamponda Sana Ruto yamewashuka mpaka aibu, mmoja akakimbia🤣🤣🤣🤣
Unakuta msukumo wao wa pekee wa kumponda Ruto ni sababu wanaona safety ilikuwa kwa Uhuru.
 
Acha justification za kitoto,mie ni CCM damu ni ukweli kuwa sisi tunawakandamiza sana uponzani sio kwamba hawajui wanataka nini.Wanasiasa kuhama vyama ni kawaida hata huoni mfano mdogo huko Kenya??
Hata ukiwa CCM figo, upinzani wanajikamiza wenyewe kwani 2015 ndipo nikwaona waoga, hawajuamini,hawa amini system yao ya kuandaa viongozi na ubaya zaidi wana nunulika.
 
Mzee aliamini sana vya kupewa. Watu wamepandishwa wote ICC halafu waje wagombane na wavunje makubaliano yao hivi tu.

Yani Rais agombane na Naibu wake hadi kufikia kumpa mtu mwingine kazi za Naibu rais na wala asimfanyie figisu kumtoa serikalini? 😂
Raila hakuwa smart tu.
Huu ndio ukweli kama Raila angetaka Odinga awe Rais angekuwa no matter what,ni either kuna makubaliano baina yao au amemusaliti.
 
Hata ukiwa CCM figo, upinzani wanajikamiza wenyewe kwani 2015 ndipo nikwaona waoga, hawajuamini,hawa amini system yao ya kuandaa viongozi na ubaya zaidi wana nunulika.
Nimekwambia wanasiasa kuhama vyama ni Duniani kote,Tanzania upinzani wanakandamizwa.
 
Back
Top Bottom