Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Umenena vyema, tuliwaambia watoto humo Raila hafiki popote.Uhuru alitumia nguvu nyingi kumpambania Odinga. Risk iliyokuwepo ni kwamba nguvu zilizotumika zilimuongezea ushawishi Odinga na zingeweza mletea ushindi. Bila kuungwa mkono na state apparatus angepata pungufu ya hapa na au angeibiwa kura.
Hakuna lugha yoyote ya kupindisha, Uhuru alikuwa na Odinga. Kama ungejua mahusiano ya Uhuru na Ruto tangu wanatoka The Hague usingesema haya unayosema