Laroi Butata
Member
- Oct 28, 2020
- 91
- 103
- Thread starter
- #21
Mdau
Nakusalimu.
Jana nilipata nafasi kueleza nilichokiona na kinachojiri hapa jijini arusha baada ya kuwaona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt zenye picha na maandishi yakihusiana na uchaguzi.
Leo nimepata nafasi kufika eneo la tukio kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa AICC, japo nimekuta wamemaliza kupiga kura ila nitawajuza kila kitu kinachojili kwa wakati huo.
Picha zitakuwepo za kutosha kila hatua nitakayoweza kuifikia.
UPDATES: Picha hizi hapa chini nimepata kutoka kwa mdau.
Dkt. Edward Hosea ambaye ni mgombea wa nafasi ya urais akipiga kura mapema leo asubuhi.
Mwanasheria Albert Msando ambaye ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya urais akipiga kura.
UPDATES.
Hapa ndani naona wadau au wanasheria ni wachache sana waliohudhuria mkutano na uchaguzi huu kwa mwaka 2021.
Kwa sasa wanatajwa washindi wa mikoa kwa nafasi zao, ila kinachosikitisha ni baadhi ya wagombea wa nafasi ya urais kukata tamaa mapema kabla ya kutangazwa majina yao, picha zinaonyesha kila kitu hapa chini...
Kati ya hao wenye huzuni naona hawa hapa chini wapo busy kufuatilia kinachojili kwenye mitandao kupitia simu zao hasa kupata taarifa kutoka kwa mawakala wao.
Toka mwanzo nilisema waudhuliaji na wapiga kura ni wachache sana, waliojiandikisha 5236 na waliopiga kura ni 802 hali inayoonyesha upungufu mkubwa sana kwenye uhudhuliaji.