Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

yaani amwaachia mama flaviana si bora Nshala aendelee tu na uongozi

NGO ya WILAK imemshida atawezaje kuidesha TLS?!
 
Albert yuko kimkakati hapo,akishinda ndiyo mtamjua rangi yake.Serikali imeamua kumleta.
 
Albert yuko kimkakati hapo,akishinda ndiyo mtamjua rangi yake.Serikali imeamua kumleta.
Serikali hii Albert hana chake. Huyo ni sawa sawa na mdangaji mwenye gundu licha ya kujipeleka kwa Magofool ila Magofool alikuwa hana hata time naye.

Yeye na wadangaji wenzie kina Nassary imeshakula kwao. Mnunuzi wa wadangaji kashatangulia mbele za haki/KUZIMU.
 
Hongera sana Dr. Hosea.
Unastahili na unafaa sana.
Hongera kwa ushindi mnono
 
Screenshot_20210416-170640_Instagram.jpg
 
Nimeona Dr. Edward Hosea akitoa hotuba yake ya kwanza mara baada ya kuapishwa, pembeni yake ni sekretariati atakayofanya nayo kazi.

IMG_20210417_143509.jpg
 
Back
Top Bottom