Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Lwandamina hakupewa kazi kwa ajili ya haya Mabonanza. Kaajiriwa special kwa ajili ya Klabu Bingwa na huko ndipo kilipo kipimo chake. Sio Mapinduzi wala VPL kabati limejaa tunawaachia nyie mwaka huu.


Na Huko Kwa Wakimataifa Wenzio! YeboYebo Akiwaona Waarabu Tu Anaanza Kushusha Kaptula ili Apigwe Kiulaini....
Mutaishia Kuwa Wasindikizaji tu....
😀😀
 
I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,

Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo

Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
 
Tuma salamu kwa watu watatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…