Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We weita uliovaa li jezi la Yanga.. ongeza 4 zingine hapo.. haraka sana.. nakupa dakika 4.weita leta castle lite 7 apa chaaap kwa haraka
Lwandamina hakupewa kazi kwa ajili ya haya Mabonanza. Kaajiriwa special kwa ajili ya Klabu Bingwa na huko ndipo kilipo kipimo chake. Sio Mapinduzi wala VPL kabati limejaa tunawaachia nyie mwaka huu.
Leo nimefurahi sana na nina amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sembo washaliwa kiboga tena
Hakika dozi imemuingia kunako.maneno ya mkosaji hayoo
Haaaaa haaaa "unanitekenyaga ukinyonga Yanga"Mikia watachezea koki kama kawaida
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu wanaharisha tena. Dripu zitakwisha mwaka huu.Haka kabinti Demigod katakonda kwa kuharisha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haaaaa haaaa "unanitekenyaga ukinyonga Yanga"
Tuma salamu kwa watu watatu.I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,
Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo
Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
Haaaaa haaaaa nakushauri ulale mkuu,subiri mshindi wa 3 hii ni ngoma ya wanaumeUkichaa si lazima uvue nguo. Page ya 24 hii na comment zaidi ya 477 hujisikii aibu. Pole sana.