Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017


Hata Cameroon Mwaka 2000 Kwenye AFCON waliwafunga Nigeria Kwa Penati na Wakatwaa Ubingwa lakini Haukuitwa Upumbavu.... Lakini leo Kaliwa Kiboga YeboYebo ndiyo umekuwa Ushindi wa Kipumbavu.... Mtalia sana mwaka huu manake Tunawangoja Na VPL....
 
Wacha meneno ya mkosaji wewe..FIFA wanazitambua penalt kama ushindi pia si wakawaida wala nini..
 
Hata Cameroon Mwaka 2000 Kwenye AFCON waliwafunga Nigeria Kwa Penati na Wakatwaa Ubingwa lakini Haukuitwa Upumbavu.... Lakini leo Kaliwa Kiboga YeboYebo ndiyo umekuwa Ushindi wa Kipumbavu.... Mtalia sana mwaka huu manake Tunawangoja Na VPL....
Mkuu utawaweza hawa kelele buku wakifungwa sie huku visiwani tunasema leo yanga afhirika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti wa kipumbavu hahahaa yanga bwana Ziiiiiii vyura wote mwafwaa
 
Hapa upo disapointedi....
I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,



Sasa hapa tukueleweje... Au Ndio kutafuta sympathy...Maana ushindi wa kipumbavu ni nadra sana kum-dissapoint mtu....Teh teh....mmevurugwa mbaya

Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
 
Wengine wanatapika kwa dozi kali.Mpira Tz tatizo ni refa na TFF tu.wachezeshe kwa haki kama 4G ataambulia hata nafasi ya 8.


Hili Siku Zote Ninalisema Kuwa Kwa Mfumo Wa TFF na Marefa Wake Lazima YeboYebo Ajione Yupo Juu! Lakini Akivuuka Bahari Anajikutia Yeye ni Sawa na Uji Wa Mgonjwa Manake Anaishia Kubandikwa 4G......

Na itakapo Badilika TFF ikazuia Mianya Yote Ya Miamala Kwa Marefarii na Timu Nyengine basi YeboYebo Ataishia Kuwa Mid Table team kila Msimu.....
 
Vipi shule bado hazijafunguliwa? Au nyie ndio mliorudisha Handset kwa wazazi mkakimbia na Line
Nimemkumbuka mtangazaji mmoja wa Kenya wa mpira, kama sikosei alikua mkikuyu mwanzoni mwa miaka ya 2000. Zilikua swaga zake team ikipiga shoot golini.
 
Ila mikia muwe mnaona aibu, bonanza nalo ni la kusheherekea, mpaka na kukesha? Give me a break...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…