Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Ila mikia muwe mnaona aibu, bonanza nalo ni la kusheherekea, mpaka na kukesha? Give me a break...
He he he..! Kumbe unakimbia huna break[emoji590] [emoji613] [emoji614] [emoji577] ???
 
hahahaha! hawa Manama bwana! walishazoe kutandikwa 4 na Leo tens wakaona kupigwa kamoja siyo vizuri, hatimaye wamepigwa 4 tena.

Mungu awatangulie kwa safari yenu ya kurudi Dar
 
IMG-20170110-WA0087.jpg
 
I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,

Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo

Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
Pole sana chief,
 
Mlale nyie watu wazima, wa kusherekea nusu fainali ya bonanza. Halafu mkakimbia hamjiamini, bonanza limeisha mmerudi. Ila ndio size yenu mabonanza.
Na ukizidi kuongea sana VPL nitakufunga 7,bora unyamaze nikufunge 2 tu
 
Aunt Ezekiel ni nani katika taifa hili?Akampikie Mose Iyobo akanengue majukwaani wapate kula [emoji57]
Unaonaje usiku huu kwenye zile pande 4 nikupe 4G zingine tamu na nzuri Mujarabuuuu..hahaha najua faraja yko ipo pale emirates kwa mzee wetu
 
Back
Top Bottom