Atume salamu kwa watu 4.Tuma salamu kwa watu watatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atume salamu kwa watu 4.Tuma salamu kwa watu watatu.
I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,
Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo
Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
Wacha meneno ya mkosaji wewe..FIFA wanazitambua penalt kama ushindi pia si wakawaida wala nini..I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,
Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo
Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
Mkuu utawaweza hawa kelele buku wakifungwa sie huku visiwani tunasema leo yanga afhirikaHata Cameroon Mwaka 2000 Kwenye AFCON waliwafunga Nigeria Kwa Penati na Wakatwaa Ubingwa lakini Haukuitwa Upumbavu.... Lakini leo Kaliwa Kiboga YeboYebo ndiyo umekuwa Ushindi wa Kipumbavu.... Mtalia sana mwaka huu manake Tunawangoja Na VPL....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti wa kipumbavu hahahaa yanga bwana Ziiiiiii vyura wote mwafwaaI'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,
Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo
Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
Hahahah..sawaAtume salamu kwa watu 4.
I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapa upo disapointedi....
Sasa hapa tukueleweje... Au Ndio kutafuta sympathy...Maana ushindi wa kipumbavu ni nadra sana kum-dissapoint mtu....Teh teh....mmevurugwa mbaya
Wengine wanatapika kwa dozi kali.Mpira Tz tatizo ni refa na TFF tu.wachezeshe kwa haki kama 4G ataambulia hata nafasi ya 8.
Hahaha hao maneno maneno yote wataongea si tunajua leo yanga afirikaHapa upo disapointedi....
Sasa hapa tukueleweje... Au Ndio kutafuta sympathy...Maana ushindi wa kipumbavu ni nadra sana kum-dissapoint mtu....Teh teh....mmevurugwa mbaya
Huyu msimu huu.. lazma atutambue sisi ni nani.. Tarehe 18 mwezi ujao tunae tena.Wengine wanatapika kwa dozi kali.Mpira Tz tatizo ni refa na TFF tu.wachezeshe kwa haki kama 4G ataambulia hata nafasi ya 8.
Nimemkumbuka mtangazaji mmoja wa Kenya wa mpira, kama sikosei alikua mkikuyu mwanzoni mwa miaka ya 2000. Zilikua swaga zake team ikipiga shoot golini.Vipi shule bado hazijafunguliwa? Au nyie ndio mliorudisha Handset kwa wazazi mkakimbia na Line