Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Watoto wa Jangwani leo lazma bomba liwaloweshe kama kawaida yao..! Simba Nguvu Moja
 
Kwani mikia wana rekodi ipi hasa!?
 
Leo mtibwa sugar lazima ishinde, maana Thobias kifaru namkubali sana
 
Refa katoka wapi? Maana mikia waliwahi sema hawachezi na Yanga hadi refa atoke nje ya nchi
 
Hatuchezi kwa kuangalia historia, tutacheza dakika 90. Yanga daima mbele, nyuma mwiko. Ushindi leo lazima.

#teamyangaforever#tunajiamini#
 
Hatuchezi kwa kuangalia historia, tutacheza dakika 90. Yanga daima mbele, nyuma mwiko. Ushindi leo lazima.

#teamyangaforever#tunajiamini#
Umejikaza na kijitokeza,nakutakia kipigo chema,jitahidi sana kubana pum.bu Mzamiru anapishika mpira maeneo ya hatari
 
Simba nipigie hao watoto mapema tukapumzike.. ..
Simba 3 yanga 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…