PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poleni sana ndugu zangu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sanaAunt Ezekiel ni nani katika taifa hili?Akampikie Mose Iyobo akanengue majukwaani wapate kula [emoji57]
Polen sana,Ila mikia muwe mnaona aibu, bonanza nalo ni la kusheherekea, mpaka na kukesha? Give me a break...
Uzuri wake mumekutana na miamba wawili, yaani Azam na Simba. Full squad ilichezeshwa mkaliwa 4 -0 na Azam, mukajiapiza hamtafanyakosa kwa mechi na watani zenu, mukatumia nguvu kubwa, lakini wapi, safari nne tena. Poleni sana! Tusingelala kama nyie yebo mungeshinda.Mlale nyie watu wazima, wa kusheherekea nusu fainali ya bonanza. Halafu mkakimbia hamjiamini, bonanza limeisha mmerudi. Ila ndio size yenu mabonanza.
Sema tena
ya mkosaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nifah sweetie wala usikereke leo,mikia hadhi yao mabonanza. Wasipopata huko watasahaulika kama kuna mikia nchi hii. Tuna VPL. Mabonanza tuwaachie wenye nayo...
Umenimiss eeh Ngarna unataka turudishe enzi eeh. Bonanza linipe hasira for what?. Azam hiyooo tumooooo
Nifah sweetie wala usikereke leo,mikia hadhi yao mabonanza. Wasipopata huko watasahaulika kama kuna mikia nchi hii. Tuna VPL. Mabonanza tuwaachie wenye nayo...
Wamebana wamebana mwisho ikabidi itumike vilainishi ikaingia. Lazima watu wanune.