Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

823beee5cb4be4bf0238a93e95efc0ef.jpg


Poleni sana ndugu zangu!!
dda8628fddf9f66ad759e4031f63c33d.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mlale nyie watu wazima, wa kusheherekea nusu fainali ya bonanza. Halafu mkakimbia hamjiamini, bonanza limeisha mmerudi. Ila ndio size yenu mabonanza.
Uzuri wake mumekutana na miamba wawili, yaani Azam na Simba. Full squad ilichezeshwa mkaliwa 4 -0 na Azam, mukajiapiza hamtafanyakosa kwa mechi na watani zenu, mukatumia nguvu kubwa, lakini wapi, safari nne tena. Poleni sana! Tusingelala kama nyie yebo mungeshinda.
 
Bantu lady hayo n maneno ya mkosaji. Kuliwa ni kuliwa haijalishi VPL au BONANZA
 
Umenimiss eeh Ngarna unataka turudishe enzi eeh. Bonanza linipe hasira for what?. Azam hiyooo tumooooo

Sinzia na fegi uchome kibanda....

Sinaga maneno ya kwenye khanga....

Kazi juu ya kazi yaani bamba tu bamba.....

Maisha na muziki....wacha maneno weka muziki.....

(Vijana watanisahihisha hayo mashairi)......
 
Hivi ni wanataka kujaza watu uwanjani siku ya mapinduzi ee
 
Back
Top Bottom