Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Wa matopeni wana hamu sana ya kumfunga wa kimataifa....
Size ya Yanga ni Mazembe...Ahly..... hapo ni kama mechi ya kirafiki
kweli sisi yanga wa 4G nikufungwa tu na kila team tunayokutana nayo mfano Azam wametufunga nne na tumepewa jila la 4G sasa simba akitufunga sijui tutaitwaje?
 
Ngapi Ngp? Sijui Aliyeanzisha Uzi Anafanyaje! Hakuna Update Wala Nini? Nyambafu
 
kweli sisi yanga wa 4G nikufungwa tu na kila team tunayokutana nayo mfano Azam wametufunga nne na tumepewa jila la 4G sasa simba akitufunga sijui tutaitwaje?
Hamuwezi kupewa jina. Kwa kawaida mme ni wajibu wake kumpiga bao mkewe... Haina haja ya kupeana majina kwa wanandoa
 
Asante Msuva na Niyonzima hakika ninyi ni mashujaa wa mikia fc
 






MAPUMZIKO
KADI Dk 45, Mwamuzi anatoa kadi ya njano kwa Abdi Banda kumuangusha Kaseke, kadi ya njano kwa Juma Abdul

Dk 43, hatariiiii, Msuva anapoteza mpira, Mo Ibrahim anaachia fataki, Dida anaugusa na kutgonga mwamba, unamkuta Luizio anaachia shuti, goal kick

Dk 40, Banda anaachia fataki lakini mpira unawagonga mabeki wa Yanga, wanaokoa
KADI Dk 39, Mwingi analambwa kadi ya njano kwa kumrukia Mo Ibra

Dk 37, Msuva anamtoka Zimbwe kwa mara ya kwanza, anaingia vizuri na kujaribu kupiga lakini mpira anaukosa na Bukungu anauokoa kabla haujavuka lango

Dk 34, Dida anafanya kosa hapa, nusura Bukungu lakini anaitahi kuuwahi

Dk 34 mechi bado inaonekana kuwa ngumu, kila upande una mashambulizi lakini si uhakika

Dk 28, Yanga inapata kona baada ya Simba kuukoa mpira wa faulo wa Mwinyi, inachongwa lakini kipa anafanyiwa madhambi

Dk 21 sasa, mambo bado, mashambulizi si mengi. Simba hasa Banda wanapaswa kuwa makini na kupunguza mipira isiyokuwa na maana karinu lango lao

Dk 18, mkwaju mkali wa Mwinyi wa faulo, unatoka kidogo nje ya lango la Simba
Dk 16, Mo Ibrahim, anaachia shuti kali katikati ya msimu wa mabeki wa Yanga, Dida anadaka vizuri kabisa
Dk 15, Yanga wanapoteza nafasi, Msuva anapiga shuti lakini Banda anakaa chini na kuzuia. Ilikuwa nafasi nzuri kwa Yanga

Dk 10 sasa, kila upande unaonekana kuwa makini sana kwa sababu hakuna mashambulizi mengi kwenye milango

Dk 8, Banda anapiga kichwa mpira unamkuta Niyonzima, anaingia vizuri na kuachia shuti kali hapa, Agyei anadaka vizuri kabisa
Dk 7, mpira zaidi unachezwa katikati ya uwanja ingawa Simba ndiyo wanaonekana kutawala zaidi katikati ya uwanja

Dk 3Yanga wanaanza kuwa wa kwanza kuingia kwenye lango la Simba lakini Mwanjale anakuwa makini

Dk 1Mechi imeanza kwa kasi kubwa huku ikionekana kila timu imepania kupata bao la mapema
 
ijamaniuganda tunaangalia streamlinegani
 
68fd3475486640e4ee7098bc8faccca3.jpg

Mnachezea sharubu za mkuu wa mbuga
 
Back
Top Bottom