Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Huu mpira gani sasa..butubutu tu duh haufai hata kupoteza usingizi kwa mpira kama huu,Hivi game ya Man utd saa ngapi maana wazungu wanatuzidi kila kitu.
 
Huu mpira gani sasa..butubutu tu duh haufai hata kupoteza usingizi kwa mpira kama huu,Hivi game ya Man utd saa ngapi maana wazungu wanatuzidi kila kitu.
huko tumebet mkuu na game inaanza saa 5 kamili. Man u aahinde japo sio timu yangu
 
Tatizo simba na yanga wanakamiana sana, yaani hapa mpira si huoni, yaani hapa kila mtu anamlia timing mwenzake, mmoja wapo akipata goli mpira umeisha.
 
Dk 71, Msuva anaingia vizuri lakini mpira wake wa krosi unaokolewa na Bukungu

Dk 69, nafasi nyingine kwa Simba, lakini Luizio anashindwa kupiga krosi nzuri

Dk 68, Yanga wanachonga kona safi, kichwa cha Mwinyi mpira unakwenda nje
 
Back
Top Bottom