Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Ila mikia muwe mnaona aibu, bonanza nalo ni la kusheherekea, mpaka na kukesha? Give me a break...
Punguza jazba. Si umehamia Azam?Sisi tunasheherekea ushindi. Wewe unakesha kwa sababu gani?Maumivu???
 
Simba oyeeee yaani sitamani hata kulala leo jamani khaaa maana c kwa furaha nilo nayo
 
4964a39741b4178b55a4a47053840191.jpg
 
I'm very disappointed to day,we loose the game but we are still comfortable we are waiting for the VPL,
Penati wamefungwa Argentina tena na Chille alafu ilikua Fainali ya Pesa nyingi,Leo kufungwa Yanga ndio mmeona maajabu,tuacheni na Yanga yetu,

Ila hii rangi ya kijani na manjano ni hatari,tukipataga ushindi huwa ni wakishindo Ila tukishindwa napo huwa ni kipigo cha kishindo

Ushindi wa penati ni ushindi wa kipumbavu,
Hahhahaa tulia sindano iingie vizuri
 
Ukiona mtu anafurahi ushindi wa pernat a.k.a rede ujue huyo anatatizo
Tena tatizo kubwa la kunyonya damu mgonjwa kwenye 4G syndrome mpaka kamsababishia kupata secondary illness ya 8G sydrome..dahh mnyama hatari..
 
Back
Top Bottom