Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

unabeza style ya marketing[emoji3][emoji3]
Lazima mje kulia mmeibiwa kura...
Mnatafutia soko bidhaa gani?
Mwaka juzi nikiwa huko nyumbani,nilienda shambani Kerege,nikashangaa nakutana na kundi kubwa la wananchi wamezunguka gari,nikauliza kulikoni,nikaambiwa ni sabuni ya foma wanafanya marketing.
Ndicho mnachofanya?
 
utajua utakaposema
.... tumeibiwa kura
Mnatafutia soko bidhaa gani?
Mwaka juzi nikiwa huko nyumbani,nilienda shambani Kerege,nikashangaa nakutana na kundi kubwa la wananchi wamezunguka gari,nikauliza kulikoni,nikaambiwa ni sabuni ya foma wanafanya marketing.
Ndicho mnachofanya?
 
Hivi akienda bila TAMASHA inakuwaje?
 
Uchaguzi ukiisha nikiwasikia wasanii wanalia njaa ntawashanga sana

Ova
 
Mgombea Urais Kupitia Chama Cha Mapinduzi akionesha kasi ya kuzungukia majimbo sasa ameingia kwa wachapa kazi Shinyanga.

Karibuni vijana,kinamama,wazee na wanawake kutoka pande zote ikiwemo Pandagichiza!!
 
Kuna mgombea wa chadema alizunguka sokoni na stend ili wapate picha za kumrishia robertison wa Amsterdam
 
Mizengo Pinda sitamsamehe kwa aliyoyafanya Zuzu kwa wafanyakazi wetu wa mashamba ya zabibu. Kuleta mafuso na kuwachukua wafanyakazi wetu kwenda kuona wasanii 200+ na kupelekea mashamba kutelekezwa kwa masaa zaidi ya 12 ni uhujumu uchumi wetu na wa taifa. Mazao yakipungua atawajibika.
 
 
Nimeingia ofisi moja hapa jijini na TV iliyo hewani ni TBC1 na inaonyesha huko Shinyanga tamasha LA wanamuziki.
 
ULI
ULITAKA UIBE TUCHEKELEEE TU KWENYE NCHI YA WATU MILIONI 60 WAKIFA KUMI NAYO NI HABARI ULIZA CHINA WANAKUFA WANGAPI MAJAMBAZI HAKUNA TZ ? MWISHO MTATAKA SERIKALI ILINDE WAKE ZENU WASITONGOZWE KUWENI WASTAARABU NCHI GANI EAST AFIRCA ILIYOTULIA KAMA TZ ?
 
CCM ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo tu mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja tena kwa mara nyingine au Dunia 'ikipinduka' kwa mara nyingine.
Kuwepo itaendelea kuwepo lkn haitakuwa madarakani ..acha kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…