Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

Imo na size yako!!!!

Wasanii katika ubora wao.

Wananchi wanakula burudani ya size yao.
 
Dawaamulhaal minalmuhaal, acha kukariri hakuna chenye mwanzo kikawa hakina mwisho
CCM ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo tu mpaka pale Yesu Kristo atakapokuja tena kwa mara nyingine au Dunia 'ikipinduka' kwa mara nyingine.
 
Wasanii was nini wakati mmenunua ndege , kujenga flyover , Madaraja Stiegersgorge na Standard Gauge yaani kufanya vyote hivyo lakini Mpaka mvute watu kwa kutumia wasanii na kubeba watu kwfnye malori , mjifunze ujuaji wa kila kitu sio mzuri Limbukeni .
 
Umewahi kumuona akivuta bangi???
Singeli on Stage ...you cant stop Singeli
 
Madini gani anayolisha Lissu? Kusema kwamba migambo wamuulize amiri jeshi mkuu jeshi la akiba ni kwa mujibu wa sheria gani?
Lisu anawaambia watu akishinda wafugaji watafugia ndani ya hifadhi za taifa.

Janga na nusu huyu
 
Huyu kqtambi ana bahati eh duh yaan mkuu ame declare kabisa ana mkubali ndugu katambi, hii ni ishara jamaa ni muchapa kazi
 
Hao waliookotwa baharini hawana ndugu? Matanga yalikuwa wapi? Munawaibia wasomali pesa zao mkifika mto ruvu mnawasokomezea mtoni, hayo majizi mafisadi papa mulitaka haendelee kuiba Mali za umma?
 
nanyinyi si mvute kwa hivyo vilioo!!! tatizo nini kwani mbona kama tunataka kupangiana??
 
Nimeamini Lisu hajui hata kusoma yaliyoomo kwnye katiba Na sheria zetu.
MGAMBO ni askari msaidizi anayetambuliwa Na katiba yetu.
Ninakushauri uache kusikiliza uchambuzipotoshi wa Dada mweupe na Kaka mweusi wa TBC. Unakuwa kichekesho hivihivi.
Pale Shinyanga, Lissu alizungumzia kutotambulika kisheria/katiba kwa jeshi la akiba.
Akayataja pia JWTZ, TZ POLICE, TZ PRIZONS & MGAMBO kama majeshi yanayotambulika kikatiba.
 
Wananchi wamkataa katambi mbele ya magu,ikabidi magu awabembeleze kua waachane na ya pembeni et ameongea na masele waliemkata kua atampa kazi ingne kwa kua yeye ni raisi,afu cha ajabu wagombea ubunge wanamshukuru raisi kwa kuwapa nafasi ya kugombea badala ya kukishukuru chama
 
Watu wanahitaji maendeleo wewe unaleta lecture za sheria ambazo pia huzijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…