Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #21
Bora aiseeNgoma anasawazisha dakika ya 28.
Ngoma with an equalizer 28'Kaka gemu ikiendelea hivi yanga watakula nyingi.. Ila tusiwaombee mabaya.
Yaani wanapaswa kukatwa hata 4 udadadeki zao...Kaka gemu ikiendelea hivi yanga watakula nyingi.. Ila tusiwaombee mabaya.
Mkuu nasikiliza radio hapa, Maelezo yako neno kwa neno Ni sawa Na ya mtangazaji anayetangaza hapa!Ngomaaaaaaa..
Dakika ya 28 d. Ngoma kasawazisha... Shuti la chini chini baba..
Yanga wametumia si chini ya pasi nne.. Ngoma amewahadaa mabeki kwa kupiga pembeni na kipa akashindwa kuukamata mpira ule
Ni half time n gemu ni moja moja.Wameongezwa cha pili
Mkwakwani naskia mnyama keshamtundika myu kamoja huko.. Nani kafunga?itakuwa Vyura FC
Danny LyangaMkwakwani naskia mnyama keshamtundika myu kamoja huko.. Nani kafunga?
Ndugu yangu net work hakuna.. Post inaload dakika tano ndio inaenda ...Tupe update kwa wakati sasa unakaa muda mrefu pasipi update vipi bana