Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

Ngomaaaaaaa..
Dakika ya 28 d. Ngoma kasawazisha... Shuti la chini chini baba..
Yanga wametumia si chini ya pasi nne.. Ngoma amewahadaa mabeki kwa kupiga pembeni na kipa akashindwa kuukamata mpira ule
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooo NGOMA anasawazisha.
 
Ngomaaaaaaa..
Dakika ya 28 d. Ngoma kasawazisha... Shuti la chini chini baba..
Yanga wametumia si chini ya pasi nne.. Ngoma amewahadaa mabeki kwa kupiga pembeni na kipa akashindwa kuukamata mpira ule
Mkuu nasikiliza radio hapa, Maelezo yako neno kwa neno Ni sawa Na ya mtangazaji anayetangaza hapa!
 
image.jpeg

Hio pic wakati wa kuingia .. Network ipo chini sana picha kibao halftime nitatoka nje
 
Tupe update kwa wakati sasa unakaa muda mrefu pasipi update vipi bana
 
Back
Top Bottom