Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
tunajiita wakimataifa hata kwenye tv hatuonekani?
Al Ahly watapigwa tu, hakuna namnaSasa yanga ijiandae vizuri kuikabili al ahly ambao wameifunga liboro leo
tunawajua mnaaleji na waarabu mtapigwa tu...Al Ahly watapigwa tu, hakuna namna
Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.
Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?

we nae acha kutetea ujinga, mechi ngapi za ugenini azamtv wameonyesha kwahiyo nje ya nchi wanaweza gharama ndo washindwe za nyumbani. AF tembelea basi ata website ya azam TV au waulize, Jana walimjibu mdau ktk moja ya account yao ya kijamii kua tatizo sio fedha na wamejitahidi kadri ya uwezo wao hawakufanikiwa...Mapenzi gani ayo ad unatetea yasiofaa.Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.
Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?
Magoli ya ugenini yanaanza kuhesabiwa kama mmelingana idadi ya magoli
Mechi ya Kwanza APR 1 Yanga 2
Mechi ya Pili Yanga 0 APR 1
JUMLA APR 2 Yanga 2, lakini Yanga ana faida ya kufunga magoli 2 ugenini so Yanga angepita game itaongezwa dakika kama APR atashinda 2-1 hapa Dar kama Yanga alivyoshinda kule Kigali
SimbaJamani naombeni mtuamulie ugonvi na jamaa yangu hapa.Yanga ingelifugwa 1kwa 0 nani angevuka?
TYanga watapoteza mechi mtaniambia kipindi cha pili.