Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

tunajiita wakimataifa hata kwenye tv hatuonekani?

Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.

Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?
 
Kwa kukataa Azam isionyeshe huo mchezo je Yanga wana alternative TV ipi ya kuwapatia pesa zaidi? Au in ule ushindani usio na kichwa wala miguu?
 
Sasa yanga ijiandae vizuri kuikabili al ahly ambao wameifunga liboro leo
 
Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.

Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?
Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.

Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?
Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.

Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?
we nae acha kutetea ujinga, mechi ngapi za ugenini azamtv wameonyesha kwahiyo nje ya nchi wanaweza gharama ndo washindwe za nyumbani. AF tembelea basi ata website ya azam TV au waulize, Jana walimjibu mdau ktk moja ya account yao ya kijamii kua tatizo sio fedha na wamejitahidi kadri ya uwezo wao hawakufanikiwa...Mapenzi gani ayo ad unatetea yasiofaa.
 
Al Ahly qualified to the round of 16 of the 2016 CAF Champions League, after defeating Angolan Recreativo do Libolo 2-0 on Saturday.

Both teams went into the second-leg motivated to clinch a win, after their 0-0 draw in the first-leg of the round of 32 in Angola last week. However, goals from Ramadan Sobhy and John Antwi helped Al Ahly qualify to the next round

VIDEO: Al Ahly reach last 16 after defeating Recreativo
 
Magoli ya ugenini yanaanza kuhesabiwa kama mmelingana idadi ya magoli
Mechi ya Kwanza APR 1 Yanga 2
Mechi ya Pili Yanga 0 APR 1

JUMLA APR 2 Yanga 2, lakini Yanga ana faida ya kufunga magoli 2 ugenini so Yanga angepita game itaongezwa dakika kama APR atashinda 2-1 hapa Dar kama Yanga alivyoshinda kule Kigali

Sahihi ni kwamba game ingeenda kwenye penati kama score ingekuwa APR 2-1 Yanga.
 
Back
Top Bottom