Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
tunajiita wakimataifa hata kwenye tv hatuonekani?
Mpira ni fedha, kama Azam TV anatoa fedha kiduchu kama za VPL nani atakubali ujinga huo. unafahamu gharama za kumtunza Ngoma, Kamusoko na wenzake? Fedha hizo zinatoka wapi? Msiangalie juu juu mambo.
Binafsi sikubaliani na fedha ya Azam hata kwenye VPL, ni utani mtupu. Mbona Azam mwenyewe hakuonesha mechi yake ya Bidvest?