Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna demu anapiga dana dan hapa uwanjani ni hatarii.. Si wangempa namba twiga star???
Duuh..
Half time sasa hivi moja moja .. Wa kimataifa maneno mengiii ila wanaweza wakashinda.. Wakimataifaa kwa mpira huu mkikutana na libolo au waarabu lazima mkae chini
Kuna demu anapiga dana dan hapa uwanjani ni hatarii.. Si wangempa namba twiga star???
Duuh..
Half time sasa hivi moja moja .. Wa kimataifa maneno mengiii ila wanaweza wakashinda.. Wakimataifaa kwa mpira huu mkikutana na libolo au waarabu lazima mkae chini
dani lyangaMkwakwani naskia mnyama keshamtundika myu kamoja huko.. Nani kafunga?
Yanga anasonga mbele, maana ana goli mbili za ugenini.Jamani naombeni mtuamulie ugonvi na jamaa yangu hapa.Yanga ingelifugwa 1kwa 0 nani angevuka?
Angepita Yanga kutokana na kufunga magoli mawili ugenini, hawa APR wangekuwa na bao moja tu ugenini japo aggregate ingekuwa 2-2Jamani naombeni mtuamulie ugonvi na jamaa yangu hapa.Yanga ingelifugwa 1kwa 0 nani angevuka?
aprJamani naombeni mtuamulie ugonvi na jamaa yangu hapa.Yanga ingelifugwa 1kwa 0 nani angevuka?
Wamchangani fungua thread yenu,hii ni yetu wakimataifaSimba anaongoza kwa goli moja...
yanga 3 vipi....Apr kivipi wakati wangekuwa yanga 3 - apr 2 sasa Apr angepitaje hapo?
Ingekuwa 3-3 maana apr walipata goal moja kule kwao.Apr kivipi wakati wangekuwa yanga 3 - apr 2 sasa Apr angepitaje hapo?
kiboko yenu tumeshamtandikaWamchangani fungua thread yenu,hii ni yetu wakimataifa
Hapana, ingeenda Extra Timempira unasheria zake yanga angefuzu kwa sababu apr aliruhusu gol nyingi kwake