Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

Kuna demu anapiga dana dan hapa uwanjani ni hatarii.. Si wangempa namba twiga star???
Duuh..
Half time sasa hivi moja moja .. Wa kimataifa maneno mengiii ila wanaweza wakashinda.. Wakimataifaa kwa mpira huu mkikutana na libolo au waarabu lazima mkae chini
 
Jamani naombeni mtuamulie ugonvi na jamaa yangu hapa.Yanga ingelifugwa 1kwa 0 nani angevuka?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kucheza mpira na kuchezea mpira.
 
Jamani naombeni mtuamulie ugonvi na jamaa yangu hapa.Yanga ingelifugwa 1kwa 0 nani angevuka?
Angepita Yanga kutokana na kufunga magoli mawili ugenini, hawa APR wangekuwa na bao moja tu ugenini japo aggregate ingekuwa 2-2
 
Simba ni mwendo wa ushindi tu.sare zimehamia upande wa pili.
 
mpira unasheria zake yanga angefuzu kwa sababu apr aliruhusu gol nyingi kwake
 
Back
Top Bottom