Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Umekishwaaaa!!du sasa nahemaaa!!!weitaaa leta eagle moja hapa!
 
Tukishinda mechi ya Jumanne na Toto Africans tunatangaza Ubingwa tukiwa na mechi mkononi...
 
Na mpiraaaaaaa umekwishaaaaa.
Yanga wanaondoka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.

Ubingwa umekaribia Jangwani,wanazi wenzangu wa Yanga endeleeni kushona suti na shampeni...
Hongereni mashabiki wote wa Yanga.
Ushindi huu tumpe mwenyekiti wetu Manji kama zawadi kwa magumu aliyopitia.
Cheers [emoji323] [emoji485]
 
Mkuu hao chicago si zilipendwa, chicago ya kina jordan, pippen, rodman ndio ilikuwa noma, nakumbuka final moja waliingia na uttah jazz ambayo ilikuwa na malone ilikuwa c mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…