Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Naombea Mungu ubrotherhood ufanye kazi tutatoka tuu[/QUOTE]Tukishinda mechi ya Jumanne na Toto Africans tunatangaza Ubingwa tukiwa na mechi mkononi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombea Mungu ubrotherhood ufanye kazi tutatoka tuu[/QUOTE]Tukishinda mechi ya Jumanne na Toto Africans tunatangaza Ubingwa tukiwa na mechi mkononi...
Mpira umeisha mkuu,Yanga imeibuka na ushindi wa magoli 2-1.Nifah mie leo staki fwatilia Ila mpira ukiisha nistue
Maombi yako yamechelewa. Mungu alishajibu maombi yetu. Hadanganyiki. teh tehNitaumia leo mkuu ila tambua bado nakuombea njaa hah hha
Nifah umesahau kwamba bado tuna madai yetu Fifa au unaogopa? Hatukubali mpaka kieleweke 🙄🙄Hahahaaaaaaa pole sana mkuu,baada ya ushindi wa mechi ijayo ni wazi ushindi ni wetu...unasemaje hapo mkuu? [emoji39]
Bado tupo safarini mkuu..au umesahau kwamba bado tuna madai yetu Fifa hah hahMaombi yako yamechelewa. Mungu alishajibu maombi yetu. Hadanganyiki. teh teh
Kiukweli, ushindi huu sikuutegemea kwa mpira ulivyokuwa.
ha ha ha wanyakyusa wataanzisha thread yao mm Yanga bhanaMkuu mbona umetaja kikosi kimoja tu hujataja kikosi cha mbeya city [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaaaa hunizidi mimi mkuu.Mbao itabidi tuwarande na panga lenye kutu.....Ninahasira nao sana wale viumbe.
Tutawapitia na kuwashusha daraja.Hahahaaaaaaa hunizidi mimi mkuu.
Adui wa adui ni rafiki,vipi akiwa adui yako na adui wa adui yako? [emoji134]Kazi iliyobaki ni kuhakikisha ndugu zetu Mbao wanachukua ubingwa wa FA
Hamna lolote,mnapoteza muda tu.Nifah umesahau kwamba bado tuna madai yetu Fifa au unaogopa? Hatukubali mpaka kieleweke 🙄🙄
Hapo chini ulipomalizia ndio tofauti zetu zitaanziaNa mpiraaaaaaa umekwishaaaaa.
Yanga wanaondoka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.
Ubingwa umekaribia Jangwani,wanazi wenzangu wa Yanga endeleeni kushona suti na shampeni...
Hongereni mashabiki wote wa Yanga.
Ushindi huu tumpe mwenyekiti wetu Manji kama zawadi kwa magumu aliyopitia.
Cheers [emoji323] [emoji485]
Najua, lkn Yanga itashinda mechi zote 2. Simba ikishinda mechi yake itakuwa nyuma ya Yanga kwa point 3. Mkizipata hizo za FIFA tutakuwa sawa kipoint lkn tunakuzidi kwenye magoli.Bado tupo safarini mkuu..au umesahau kwamba bado tuna madai yetu Fifa hah hah
Halafu uliisusa thread yako,mpira umeisha ndo unakuja [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha ha ha wanyakyusa wataanzisha thread yao mm Yanga bhana
kuna watu watakasirika hapa..Malizia
Nani kasema kwamba Yanga atapata nafasi kwa Mbao thubutuuuuu, kule kama hamjapigwa mna-draw iwe isiwe!Najua, lkn Yanga itashinda mechi zote 2. Simba ikishinda mechi yake itakuwa nyuma ya Yanga kwa point 3. Mkizipata hizo za FIFA tutakuwa sawa kipoint lkn tunakuzidi kwenye magoli.
Sema YANGA BINGWA TENA hahhahaha
Haaahahaaaa mkuu na sasa ukimwanzishia sio mbaya mpira ushaisha..narudia tena TUWAPE CHEERS VIONGOZI WETU KWA USHINDI [HASHTAG]#MBOWE[/HASHTAG] NA MANJIHapo chini ulipomalizia ndio tofauti zetu zitaanzia