Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

Ngassa anamiliki mpira lakini anashindwa kuwatoka mabeki wa mbeya city hapo hauko sahihi ngassa ni mchezaji wa mbeya city atawatokaje mabeki wake
 
FB_20170513_16_23_17_Saved_Picture.jpg
 
Hahahaaaaaaa pole sana mkuu,baada ya ushindi wa mechi ijayo ni wazi ushindi ni wetu...unasemaje hapo mkuu? [emoji39]
Nifah umesahau kwamba bado tuna madai yetu Fifa au unaogopa? Hatukubali mpaka kieleweke 🙄🙄
 
Na mpiraaaaaaa umekwishaaaaa.
Yanga wanaondoka kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.

Ubingwa umekaribia Jangwani,wanazi wenzangu wa Yanga endeleeni kushona suti na shampeni...
Hongereni mashabiki wote wa Yanga.
Ushindi huu tumpe mwenyekiti wetu Manji kama zawadi kwa magumu aliyopitia.
Cheers [emoji323] [emoji485]
Hapo chini ulipomalizia ndio tofauti zetu zitaanzia
 
Na usichokijua belo ni kuwa mbao hiyo tar 20 atachezesha kikosi chake kwa tahadhar ili wasipate injury wakashindwa kucheza final na mikia
 
Najua, lkn Yanga itashinda mechi zote 2. Simba ikishinda mechi yake itakuwa nyuma ya Yanga kwa point 3. Mkizipata hizo za FIFA tutakuwa sawa kipoint lkn tunakuzidi kwenye magoli.
Sema YANGA BINGWA TENA hahhahaha
Nani kasema kwamba Yanga atapata nafasi kwa Mbao thubutuuuuu, kule kama hamjapigwa mna-draw iwe isiwe!
 
Back
Top Bottom